Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ngoja sasa nikwambie ukitaka nilewe sana yaan sana ni heineken 8 hiviii nikilewa wastani heineken 4 au 5

Nilikunywa heineken 9 jamani ndio beer nyingi nilizokunywa toka nianze kulewa yaan sitaisahau hiyo siku nilirudi nyumbani alfajiri
Ukiweza kunywa heineken 20 Karibu kwenye Faru John..[emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom