Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii moto hauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

tapatalk_1534529665683.gif
 
1. Nikijiaminisha unamaanisha hii hati ya kusafiria, basi gharama imepandishwa toka 50k hadi inasoma 150k

Hapo bado gharama za fomu ambazo ni kama 20k.

Tembelea web ya Uhamiaji wameifanya iwe poa sana

2. Kama unamaanisha hizi passport size bei yake ni tofauti tegemeana na studio. Hapa Mtwara unatoa 1k unapewa passport 6 kwa mpigo bahati mbaya hawakupi negative.
Nilikuwa nahitaji passport ya kusafiri. Ili angalau na mimi nivuke boda. Asante kwa mwelekeo ulionipa mkuu
 
1. Nikijiaminisha unamaanisha hii hati ya kusafiria, basi gharama imepandishwa toka 50k hadi inasoma 150k

Hapo bado gharama za fomu ambazo ni kama 20k.

Tembelea web ya Uhamiaji wameifanya iwe poa sana

2. Kama unamaanisha hizi passport size bei yake ni tofauti tegemeana na studio. Hapa Mtwara unatoa 1k unapewa passport 6 kwa mpigo bahati mbaya hawakupi negative.
na mm nataka passpot binamu
 
TUOMBE:

Baba Asante kutuamsha salama siku ya leo tukiwa wazima .

Tunaomba Toba tusamehe..Tunajikabidhi mikononi mwako endelea kutupigania Mfalme wa Amani.Tuponye,Tubariki,Tuhuishe.

Tunajikabidhi sisi na kila tunalopitia Baba mikononi mwako..wafariji wafiwa wote wape mahitaji na tumaini wajane,wagane ,yatima watie nguvu waliipondeka mioyo.

Damu Takatifu ya Yesu Kristo inene mema makazini,safarini,katika masomo,kwa watoto na wahitaji wote wakutafute wewe .

Hesabu hatua zetu Roho Mtakatifu kaa nasi.Ni katika jina la Yesu Kristo naomba na kuamini Amen

JUMATANO NJEMA NA EID NJEMA DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO ITUFUNIKE
 
Asante sana aunt yangu Shunie kwa magazeti, nimeyasoma mapema leo nikijiandaa kwenda kupiga mpunga mahali.

Anko wangu ni mgombea yaani hadi ananichanganya, inabidi ukae naye chini umsaidie na tiba yake ni wewe. Tumejaribu kumpelekwa kwa waganga imeshindikana, jameni!

Tumosa kama unataka passport hakikisha unavaa viatu vizuri ili picha itoke poa.
 
Binamu huyu anko wako mm kiukweli simuelewi najua ni anko wako mdogo sio yule mkubwa

Tumosa afanyaje binamu kwenye picha
Asante sana aunt yangu Shunie kwa magazeti, nimeyasoma mapema leo nikijiandaa kwenda kupiga mpunga mahali.

Anko wangu ni mgombea yaani hadi ananichanganya, inabidi ukae naye chini umsaidie na tiba yake ni wewe. Tumejaribu kumpelekwa kwa waganga imeshindikana, jameni!

Tumosa kama unataka passport hakikisha unavaa viatu vizuri ili picha itoke poa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom