Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,322
- 35,824
Eeenh hiyo hospital kiboko binamu
...mara ya kwanza naenda pale nilidhani ni masikhara, nilitibiwa pale
Eeenh hiyo hospital kiboko binamu
Hahaha nmemuona,, shukran kwa utambulisho shunieNinge huyo binamu yetu ndio DJ wetu anatuburudisha na music
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe kichwa panzi shunie,, hauna gb ila una mb 2 tu haha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ngoja sasa nikwambie ukitaka nilewe sana yaan sana ni heineken 8 hiviii nikilewa wastani heineken 4 au 5
Nilikunywa heineken 9 jamani ndio beer nyingi nilizokunywa toka nianze kulewa yaan sitaisahau hiyo siku nilirudi nyumbani alfajiri
Karibu sana, naona umemaliza kilichokupelekaNimerudi kutoka buyungu sasa
ShikamoooKaburi muhimu...[emoji41]
Mfyuuuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hauzimiiiiiiiiiiiiiiii [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]moto hauzimiiiiiiiiiii wa makapukuView attachment 834720
Unavopenda hela kama ulizaliwa nazo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ebu shtakini huko jamani tupate mahela
[emoji23] [emoji23] [emoji23]hunishindi mimi ninavokupenda kumtima wa moyo wangu!
Hahaha nzurii ankoo...nilikumis mnoiMuziki: Kidogo Kingi
...tunatofautiana tunavyoangalia mambo au masuala, wengine hata wikend unakuta wanakuwa serious kama Jumatatu, hawapendi kuchukulia baadhi ya mambo kwa urahisi (taking it easy) na hata salamu inakuwa ngumu lakii kwangu mimi kama mnavyonijua lazima nikusalimie bila kujali una khali gani. Kikubwa kwangu kinaweza kuwa kidogo kwako na ndiyo maana sichoki kukusalimia wewe Kapuku unayelifanya Jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo.
Asante sana Shunie kwa mabandiko yako mazuri, najua hujaweza kupata simu nzuri ili uwe unanitag (niko kwenye mchakato na mama yenu ninunue simu moja kubwa iwe inatumiwa na kila mtu, subirini maswali yaje nikiileta). Nimefurahi kukuona hapa ningendako asante kwa kuwa active leo, Slim5 umeshatoka Chalinze, mtu chake khabari za DRC, ABJ za kupotea, moneytalk umepotea, Andunje Jiniazi 😎, Herymiller kutaja wachache.
Muziki sasa, tujikumbushe zamani kidogo maana Jumatatu inahitajigi nguvu ya ziada kuimaliza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ngoja sasa nikwambie ukitaka nilewe sana yaan sana ni heineken 8 hiviii nikilewa wastani heineken 4 au 5
Nilikunywa heineken 9 jamani ndio beer nyingi nilizokunywa toka nianze kulewa yaan sitaisahau hiyo siku nilirudi nyumbani alfajiri
Mai sista,miss uuShikamooo
Leo siku yenu maleft hand eeeeh
[emoji23][emoji23][emoji23] Ninge binamu yetu anakuwaga wa mwisho kujua kila kitu...mwambie huwa nakuwaga wa mwisho kujua, asijeniona sijui mambo nikiuliza. Usimwambie habari za saa yangu na simu ya tachi,
Sawa ningeHahaha nmemuona,, shukran kwa utambulisho shunie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo mm sio mlevi usiombe sasa tuwe club nimelewa nachezaje jamani shunie mm[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe kichwa panzi shunie,, hauna gb ila una mb 2 tu haha
Karibu sanaNimerudi kutoka buyungu sasa
Itakuwa nilizaliwa nazoUnavopenda hela kama ulizaliwa nazo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ngoja sasa nikwambie ukitaka nilewe sana yaan sana ni heineken 8 hiviii nikilewa wastani heineken 4 au 5
Nilikunywa heineken 9 jamani ndio beer nyingi nilizokunywa toka nianze kulewa yaan sitaisahau hiyo siku nilirudi nyumbani alfajiri
Shikamooo binamu...mwambie huwa nakuwaga wa mwisho kujua, asijeniona sijui mambo nikiuliza. Usimwambie habari za saa yangu na simu ya tachi,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Karibu sana, naona umemaliza kilichokupeleka