Muziki: Kidogo Kingi
...tunatofautiana tunavyoangalia mambo au masuala, wengine hata wikend unakuta wanakuwa serious kama Jumatatu, hawapendi kuchukulia baadhi ya mambo kwa urahisi (taking it easy) na hata salamu inakuwa ngumu lakii kwangu mimi kama mnavyonijua lazima nikusalimie bila kujali una khali gani. Kikubwa kwangu kinaweza kuwa kidogo kwako na ndiyo maana sichoki kukusalimia wewe Kapuku unayelifanya Jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo.
Asante sana
Shunie kwa mabandiko yako mazuri, najua hujaweza kupata simu nzuri ili uwe unanitag (niko kwenye mchakato na mama yenu ninunue simu moja kubwa iwe inatumiwa na kila mtu, subirini maswali yaje nikiileta). Nimefurahi kukuona hapa
ningendako asante kwa kuwa active leo,
Slim5 umeshatoka Chalinze,
mtu chake khabari za DRC,
ABJ za kupotea,
moneytalk umepotea,
Andunje Jiniazi 😎,
Herymiller kutaja wachache.
Muziki sasa, tujikumbushe zamani kidogo maana Jumatatu inahitajigi nguvu ya ziada kuimaliza