Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,078
Duuh, mna misemo aiseeeAbeeeh binamu
Binamu unataka kujua mana ya pugi![]()
Pugi ni mwanaume mwenye tabia za kike kufatilia habari za watu mwanaume mbea mbea mnafki yaaani kushindana na wanawake hizo ndio tabia chache za pugi
Utatuunguza na moto wako kila siku kutuwashia motoWouzeeeeeerrrrrrr![]()

Eeeenh ndiwooooooDuuh, mna misemo aiseee
Nilikuwa siijui nyakunyaku ,siku nilipoambiwa maana yake nilicheka kweli kweli
Muambie huyoo!Endelea na kuwaogopa mapugi jf watakutia mpaka vidole vya huko simu yako bundle lako na uwaogope madudu humu




































Utatuunguza na moto wako kila siku kutuwashia moto![]()
![]()
HahahaaaaaaaaaaEeeenh ndiwoooooo
Nyaku nyaku mwizi wa wabebez wa wenzie au waume wa watu

Hahahaaaaaaaaaa
Eti mwanzilishi wa hilo neno nyaku nyaku ni zari!![]()
![]()
Hawakujui hao waambie waambieeeeeAache upole wa kiboya mm kwanza utaanzaje kuniquote uniongelee ujinga ujinga
Kumkalia kimya kakuzaa huyooo!!!mfyuuuu!Nitafanya hivyo au unamkalia kimyaa tu unamwacha afanye anavyotaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mngh! weeeewe!Hauzimiiiiiiiiiiiiiiiiii.moto hauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Bampa to pambaUmkalie kimya ili aendelee kukuonea eenh acha uboya akikutukana tukana vilevile
Nashangaa jitu mmeonana jf tena kwa I'd fake na avatar woiiiiii tukana nikutukane