Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,926
Haijafika bana
Haijafika?
Haijafika?
Nimecheka sana umenitajia hiko kinywaji mate yamenijaa
![]()
si nmeshakuona mahari unashabikia hcho kinywaji

Hahahaha![]()
![]()
![]()
si nmeshakuona mahari unashabikia hcho kinywaji
![]()
![]()
![]()
Hahahhaa aisee,,, ngapi unazimuduHahahaha
Kinywaji changu pendwa hiko cha kunipunguzia stress za vyuma kukaza
Habari Makapuku, mimi sijambo. Najua mlikuwa (baadhi yenu) na wikend nzuri na wengi wenu wikend ilikuwa kama ya jana na juzi.
Kuna jipya?
Hahaha wewe jamaa bhana,, shukran piaMuziki: Kidogo Kingi
...tunatofautiana tunavyoangalia mambo au masuala, wengine hata wikend unakuta wanakuwa serious kama Jumatatu, hawapendi kuchukulia baadhi ya mambo kwa urahisi (taking it easy) na hata salamu inakuwa ngumu lakii kwangu mimi kama mnavyonijua lazima nikusalimie bila kujali una khali gani. Kikubwa kwangu kinaweza kuwa kidogo kwako na ndiyo maana sichoki kukusalimia wewe Kapuku unayelifanya Jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo.
Asante sana Shunie kwa mabandiko yako mazuri, najua hujaweza kupata simu nzuri ili uwe unanitag (niko kwenye mchakato na mama yenu ninunue simu moja kubwa iwe inatumiwa na kila mtu, subirini maswali yaje nikiileta). Nimefurahi kukuona hapa ningendako asante kwa kuwa active leo, Slim5 umeshatoka Chalinze, mtu chake khabari za DRC, ABJ za kupotea, moneytalk umepotea, Andunje Jiniazi 😎, Herymiller kutaja wachache.
Muziki sasa, tujikumbushe zamani kidogo maana Jumatatu inahitajigi nguvu ya ziada kuimaliza
Pekecha pekecha woyoooooo binamu umenikumbusha enzi za akudo impact wazee wa masauti ukianza kupekecha unapekecha mpaka chiniiiiiiMuziki: Kidogo Kingi
...tunatofautiana tunavyoangalia mambo au masuala, wengine hata wikend unakuta wanakuwa serious kama Jumatatu, hawapendi kuchukulia baadhi ya mambo kwa urahisi (taking it easy) na hata salamu inakuwa ngumu lakii kwangu mimi kama mnavyonijua lazima nikusalimie bila kujali una khali gani. Kikubwa kwangu kinaweza kuwa kidogo kwako na ndiyo maana sichoki kukusalimia wewe Kapuku unayelifanya Jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo.
Asante sana Shunie kwa mabandiko yako mazuri, najua hujaweza kupata simu nzuri ili uwe unanitag (niko kwenye mchakato na mama yenu ninunue simu moja kubwa iwe inatumiwa na kila mtu, subirini maswali yaje nikiileta). Nimefurahi kukuona hapa ningendako asante kwa kuwa active leo, Slim5 umeshatoka Chalinze, mtu chake khabari za DRC, ABJ za kupotea, moneytalk umepotea, Andunje Jiniazi 😎, Herymiller kutaja wachache.
Muziki sasa, tujikumbushe zamani kidogo maana Jumatatu inahitajigi nguvu ya ziada kuimaliza

Ngoja sasa nikwambie ukitaka nilewe sana yaan sana ni heineken 8 hiviii nikilewa wastani heineken 4 au 5![]()
![]()
![]()
wewe jibu bhana
Marhaba aunt, huu muziki huu hapa kwa ajili yako nawengine wote wanaopenda kushow loveBinamu yangu shikamoo jamani naomba wimbo yeba wa kiss daniel
Pekecha pekecha woyoooooo binamu umenikumbusha enzi za akudo impact wazee wa masauti ukianza kupekecha unapekecha mpaka chiniiiiii
Kwahiyo binamu unataka niwe nakutag eenh kila nikiweka post eenh
Ninge huyo binamu yetu ndio DJ wetu anatuburudisha na musicHahaha wewe jamaa bhana,, shukran pia
Ninge huyo binamu yetu anaitwa obe ndio DJ wetu anatuwekea musicHahaha wewe jamaa bhana,, shukran pia
AwwMarhaba aunt, huu muziki huu hapa kwa ajili yako nawengine wote wanaopenda kushow love

asante binamu yangu nakupenda mm Mungu azidi tu kukulinda jamani
Eeenh hiyo hospital kiboko binamu...utakuwa umetenda sana haki, leo nimesoma kuhusu Freemason wanawake na nimejiongezea maarifa.
FYI, pale soko la Mikocheni B, jirani na shule ya Msingi Ushindi kama unaelekea maghorofa ya Bima kuna zahanati imejengwa kwa msaada wa Freemason, ina vifaa vya kisasa balaa utasema umeingia Aghakhan
Ninge huyo binamu yetu ndio DJ wetu anatuburudisha na music