Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Sikunyimi chochote mkuuUnataka kuninyima nini sasa
E&K
Sikunyimi chochote mkuuUnataka kuninyima nini sasa
E&K
Niko mkoani tena ArushaEbu ngoja kwanza tuanzie hapa unayokea wapi mkoani au dar
Basi achana na shikamooSikunyimi chochote mkuu
Basi shikamoo inakufaa wanaamkiwa wa mkoaniNiko mkoani tena Arusha
E&K
Ww hutaki shikamoo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Basi achana na shikamoo
Hizo shikamoo mpe ushimen
E&K
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji8] [emoji8][emoji524]"Ulalapo hutaona hofu; Naam, utalala na usingizi wako utakuwa mtamu."
Methali 3: 24
Mungu awatunze usiku huu,Malaika walinzi waweke kituo kila nyumba,Damu Takatifu ya Yesu Kristo itufunike
Usiku Mwema[emoji257][emoji257][emoji257]
Arusha haina shikamooBasi shikamoo inakufaa wanaamkiwa wa mkoani
Mambo zangu ziko poa sijui mambo zako zikoje[emoji3]Ww hutaki shikamoo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mambo zako mkuu eddy
Hivi gharama ya kupata passport kwa sasa ni shilingi ngapi? Makapuku tujuzane