mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,944
- 43,358
Mfyuuuuuuuuuu!!Ebu uko
Mfyuuuuuuuuuu!!Ebu uko
Anaogopwa Mungu tu!!tumekutana kimjini mjini!!tuu!halafu jitu likuzingueNashangaa jitu mmeonana jf tena kwa I'd fake na avatar woiiiiii tukana nikutukane
Na hushwindwi wewe nakujuaNashangaa jitu mmeonana jf tena kwa I'd fake na avatar woiiiiii tukana nikutukane

Kabisa bora mkutane hata mjuane sasa lijitu halikujui linakutisha na ww unakaa tu kimya unamuogopa ujinga huo sinaga kwakweliAnaogopwa Mungu tu!!tumekutana kimjini mjini!!tuu!halafu jitu likuzingue
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hushwindwi wewe nakujua![]()
![]()
![]()






Naanzaje kushindwa mie tukana nikutukane nijipatie ban yangu nikapumzike vizuri hakuna kuogopana
Nashindwaje kwa mfano shunie mmMuangalie vile!
![]()
![]()
![]()
ndio maana hushindwi we!
WooooiiiiiiiiiNashindwaje kwa mfano shunie mm
Naanzaje kushindwa mie tukana nikutukane nijipatie ban yangu nikapumzike vizuri hakuna kuogopana

Huyu demmis anahitaji maombi huyuu!!!Kabisa bora mkutane hata mjuane sasa lijitu halikujui linakutisha na ww unakaa tu kimya unamuogopa ujinga huo sinaga kwakweli
Wooooiiiiiiiii
Umeona eeeh nimeshangaa sana!!!kumbe oga hiviiiiHalafu namuonaga mjanja kumbe muoga ana watu anawaogopa humu jf kama Mungu
Siku hizi Yale ya saa sita mchana ni adimu sanaMjitahidi kuyatazama mpone magonjwa
Halafu namuonaga mjanja kumbe muoga ana watu anawaogopa humu jf kama Mungu
Kwenye Hyo passpot itatoka na miguu binamuAsante sana aunt yangu Shunie kwa magazeti, nimeyasoma mapema leo nikijiandaa kwenda kupiga mpunga mahali.
Anko wangu ni mgombea yaani hadi ananichanganya, inabidi ukae naye chini umsaidie na tiba yake ni wewe. Tumejaribu kumpelekwa kwa waganga imeshindikana, jameni!
Tumosa kama unataka passport hakikisha unavaa viatu vizuri ili picha itoke poa.
