Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
[emoji87]....ha ahahaha, akinitoa atakonda, tena bia tatu nyingi, moja tu anahisi kupatwa na mshituko wa sehemu za siri
[emoji87]....ha ahahaha, akinitoa atakonda, tena bia tatu nyingi, moja tu anahisi kupatwa na mshituko wa sehemu za siri
Poa nasubiriaDada nakumbuka uliniomba link la ya hadithi ya mr X na German machine usihofu nakugeia..
[emoji23] [emoji23] [emoji24] [emoji23] [emoji23]...aafu hii smirnoff imetupiwa vibonge vya ice, hakyanani unaweza kumpigia simu imam au mchungaji umfundishe masuala ya kuishi vizuri duniani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pindua pinduaHilo la vodaa
Duwa la kukuApa naomba alikotekwa anko wako apotee kama ile saa ya nane make ukoo kurithi ni katiba ya ukoo mzima
Mkwende huko mkaonane nae jamani[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sio geuza geuzaaPindua pindua
Pindua pinduaSio geuza geuzaa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] muda ukienda sana ulale huko huko tu..Husna mpenzi wangu, nitachelewa kidogo, niko kwenye kikao cha kuwapongeza walioteuliwa jana. Natamani ungekuwa hapa lakini utakunywa nini sasa maana viinywaji vilivyopo ni vya walipa kodi, hakuna cha maji wala juice
Nimekupenda bure ...angekuwa shunie anamfata na sungusungu[emoji1] [emoji1] [emoji1] muda ukienda sana ulale huko huko tu
Kutembea usiku mwingi sio vizuri
[emoji1] [emoji1] [emoji1]...ustaadhaat huyu wewe, usimwone hivyo! Labda nimnyweshe indirectly, si unajua mambo aliyoimbaga Juma Necha kuhusu Sinta "...alipigwa denda mpaka gari ikagoma kwenda, ...vumbi likatimuka abiria hawaoni stend;, si ndo wakanyonyana, ndimi njenje'
Akurudie j3 kabisa[emoji1] [emoji1] [emoji1] muda ukienda sana ulale huko huko tu
Kutembea usiku mwingi sio vizuri
Na difenda kabisa sipendagi ujinga mieNimekupenda bure ...angekuwa shunie anamfata na sungusungu
Na mfano ukamfumaniaa??Na difenda kabisa sipendagi ujinga mie
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Nimekupenda bure ...angekuwa shunie anamfata na sungusungu
Nikimfumania namfata alipo nawasalimia nikimaliza namwambia nakusubiri nyumbani uwe na amani zoteNa mfano ukamfumaniaa??
Hahaaaa wewe ndo umuache mchepuko bila kumkata ata sikio ?.Nikimfumania namfata alipo nawasalimia nikimaliza namwambia nakusubiri nyumbani uwe na amani zote
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8][emoji1] [emoji1] [emoji1]
Umewanunulia wewe!!?