Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Huyu husna yupo kwenye kigodoro anko ...naona familia yenu kila mtu na yake urudi usirudii potelea mbali..Husna mpenzi wangu, nitachelewa kidogo, niko kwenye kikao cha kuwapongeza walioteuliwa jana. Natamani ungekuwa hapa lakini utakunywa nini sasa maana viinywaji vilivyopo ni vya walipa kodi, hakuna cha maji wala juice
Najua yule cheupe ashakuteka
