Makapuku Forum

Makapuku Forum

...ndo maana nakupenda mpenzi wangu, tunaaminiana. Anko kasema uko kwenye kigodoro? Ulikumbuka kubeba kinga? maana kwa mvua hizi zinazoendelea mbu wamekuwa wengi
Apana huyu kinga za nini
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Na difenda kabisa sipendagi ujinga mie

2a1bb56f4a5d4da2898a748014ebf5f0.jpg

Aunty yangu akiwaelekeza polisi wapi pa kumpata mume wake, hapo ni njia panda ya kuelekea Moshi
 
...ndo maana nakupenda mpenzi wangu, tunaaminiana. Anko kasema uko kwenye kigodoro? Ulikumbuka kubeba kinga? maana kwa mvua hizi zinazoendelea mbu wamekuwa wengi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom