Makapuku Forum

Makapuku Forum

...tunatafuta ujuzi nje halafu unaleta nyumbani, tuko kama madiaspora. Sio kma anko mkubwa yeye tu ndo anaenda study tour analeta ujuzi, nitamshauri aunty yangu naye atafute ujuzi toka nchi za kigeni, mfano tu jumuia ya Africa Mashariki, au Uropa basi au hata Marekana, Canada na Mexico
Ebhu mshauriii mama d aunt yako jamanii ...ujuz kitu muhimu
 
Muziki: Wikend Njema

Uzuri wa mjini bhana, kadri ya salamu inavyokuwa ndefu basi na suala la kukopwa au kukopa linakuwa liko karibu sana. Huwa sijui ni kwanini, nikitaka kumkopa mtu na hasa anko wangu, si unajua mambo ya kuassist, huwa naanza kumsalimia na kumkumbusha vile alivyonisaidiaga kipindi nimemuokoa kwenye fumanizi la mke wa mjumbe wa nyumba 10, miaka hiyo alikuwa mtulivu sio kama sasa alivyompata aunty yangu. Nikishamaliza hapa kinafuata kizinga.

Furahiday, huwa napenda kuweka reggae maana ni siku nzuri ya kuchangamka na ndo siku yangu FYI ambayo huwa ninaoga kwa maana ya kutumia mtego, sabuni na kujisugua kagere kanakuwa keupe sababu mwalimu ndo anataka. siku nyingine hizi ni kujibhuma tu yaani unajimwagia maji basi na ukiamka asubuhi janaba unalificha kwa deodorant na unyunyu toka Zenhi.

Muziki sasa, leo taratibu na hakuna taaabu japo najua siku moja nitaiweka tu maana kama unapenda mashairi kama mimi na unataka kusikia mambo mazuri mazuri basi taarabu usikae nayo mbali.

Tuwe na wikend Njema
na ujue nini, wewe Kapuku ni mtu mzuri sana na unalifana jukwaa hili kuwa ni sehemu bora kabisa ya kutumia muda wangu.

...ustaadhaat huyu wewe, usimwone hivyo! Labda nimnyweshe indirectly, si unajua mambo aliyoimbaga Juma Necha kuhusu Sinta "...alipigwa denda mpaka gari ikagoma kwenda, ...vumbi likatimuka abiria hawaoni stend;, si ndo wakanyonyana, ndimi njenje'
 
...tunatafuta ujuzi nje halafu unaleta nyumbani, tuko kama madiaspora. Sio kma anko mkubwa yeye tu ndo anaenda study tour analeta ujuzi, nitamshauri aunty yangu naye atafute ujuzi toka nchi za kigeni, mfano tu jumuia ya Africa Mashariki, au Uropa basi au hata Marekana, Canada na Mexico
Shindwaaaaaq
 
Muziki: Wikend Njema

Uzuri wa mjini bhana, kadri ya salamu inavyokuwa ndefu basi na suala la kukopwa au kukopa linakuwa liko karibu sana. Huwa sijui ni kwanini, nikitaka kumkopa mtu na hasa anko wangu, si unajua mambo ya kuassist, huwa naanza kumsalimia na kumkumbusha vile alivyonisaidiaga kipindi nimemuokoa kwenye fumanizi la mke wa mjumbe wa nyumba 10, miaka hiyo alikuwa mtulivu sio kama sasa alivyompata aunty yangu. Nikishamaliza hapa kinafuata kizinga.

Furahiday, huwa napenda kuweka reggae maana ni siku nzuri ya kuchangamka na ndo siku yangu FYI ambayo huwa ninaoga kwa maana ya kutumia mtego, sabuni na kujisugua kagere kanakuwa keupe sababu mwalimu ndo anataka. siku nyingine hizi ni kujibhuma tu yaani unajimwagia maji basi na ukiamka asubuhi janaba unalificha kwa deodorant na unyunyu toka Zenhi.

Muziki sasa, leo taratibu na hakuna taaabu japo najua siku moja nitaiweka tu maana kama unapenda mashairi kama mimi na unataka kusikia mambo mazuri mazuri basi taarabu usikae nayo mbali.

Tuwe na wikend Njema
na ujue nini, wewe Kapuku ni mtu mzuri sana na unalifana jukwaa hili kuwa ni sehemu bora kabisa ya kutumia muda wangu.

Binamu santeeeee ila ukiingiza mambo za anko wako sipendi ujue
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom