Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
We endelea mke mweee shemejio atakuwa anawaza kwa sauti wala haongei na wwSijawaona wapi tena na tumosa jaman me naomba tu niwawekee nitakapoishia ni hapo yaan sasa hivi nitakuwa mvivu kuingia jf yenyewe nimeingia tu hapa mara moja kuwawekea story najua adha ya arosto ya story nimewaonea huruma watu na arosto najua maumivu yake

