Makapuku Forum

Makapuku Forum

...si bora mimi mizigo yangu hii, kuna Makapuku humu wana mizigo ya dhambi. Nikimalizana ana mizigo yangu, well, mzigo wangu ni mmoja tu, mingine ni ya anko.
1173111_1163225060355450_1280913104_n.jpg
Sasa mpendwa wako kazi yake ninii
 
...aafu hii smirnoff imetupiwa vibonge vya ice, hakyanani unaweza kumpigia simu imam au mchungaji umfundishe masuala ya kuishi vizuri duniani
Ahahahhhh umeona eenh binamu halaf mtu anataka muonane tu bure bure atapambana na hali yake
 
..Husna mpenzi wangu, nitachelewa kidogo, niko kwenye kikao cha kuwapongeza walioteuliwa jana. Natamani ungekuwa hapa lakini utakunywa nini sasa maana viinywaji vilivyopo ni vya walipa kodi, hakuna cha maji wala juice
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani husna hanywi vinywaji vya walipa kodi
 
Back
Top Bottom