Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
Binamu obe nakusalimia tu mimi
...hata mimi ninakusalimia aunty yangu, ukhali gani
Binamu obe nakusalimia tu mimi
Wewe ???Ahahahhhh hakuna jamaan me nitawaacha tu
Kwahiyo makiss kiss hayo hujayaona eenh...hata mimi ninakusalimia aunty yangu, ukhali gani
Mimi ndioWewe ???
Binamu obe eti kweli
Mwanaume hafugwi acha achepuke akimaliza atarudi naenda kwa tivu kusoma storyUende wapi wewe ..mda wa kumuudumia mme ndo maana anachepukaa
Kuku yupi huyo aliyeliwa...sio kweli, nilipotea kidogo maana huyu aliyekula kuku alinisindikiza kwenda kukojoa
Kwahiyo makiss kiss hayo hujayaona eenh
Ujasiri wako nakuonaa ukikuponzaaaMwanaume hafugwi acha achepuke akimaliza atarudi naenda kwa tivu kusoma story
UliyemkataaaKuku yupi huyo aliyeliwa
Kuku yupi huyo aliyeliwa
Kauli mchepuko yetu ni kizuri kula na ankoKwahiyo makiss kiss hayo hujayaona eenh
Anakutafuta maneno kwan mm siujuii utamu wa mam mkubwa husna ???,,,nimeyaona sana, sema kwa vile anko aliyatoa kwa mpenzi wangu, sina wasiwasi. Angekuwa makaveli10 hapo ningeandamana na timbwili lake zingesalimika chupa za bia tu viti vyote vunjavunja
Mwanaume hafugwi acha achepuke akimaliza atarudi naenda kwa tivu kusoma story
Ujasiri wako nakuonaa ukikuponzaaa
...sawa sawa, sijui nikuagizie kitu gani kizuri, unachopenda na ambacho unaweza kumudu kukilipia.
Agiza chochote kwa hela yako, mimi shahidi
kaongeaa point
Ahahahhahahah maka uko api jaman,,,nimeyaona sana, sema kwa vile anko aliyatoa kwa mpenzi wangu, sina wasiwasi. Angekuwa makaveli10 hapo ningeandamana na timbwili lake zingesalimika chupa za bia tu viti vyote vunjavunja
Shem hauniponzi mwanaume hafugwiiiii we mfuge akitoka huko anajichepukia tu ndio nini mwache na mambo yake kikubwa uzima tu hata mwenyewe atajishangaa hata kama ana mabaya yake ataacha tu mwenyeweUjasiri wako nakuonaa ukikuponzaaa
Naagiza na utalipa...sawa sawa, sijui nikuagizie kitu gani kizuri, unachopenda na ambacho unaweza kumudu kukilipia.
Agiza chochote kwa hela yako, mimi shahidi
Sasa hapo unaongea na nani...usiseme umenyimwa ruhusa, sasa ni wakati wa wewe kujitokeza hadharani. Nitaitafuta kwaya ya kanisani kwa Gwajima ije itangaze tamko la wewe kuruhusiwa kuchepuka