Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,226
- 68,242
ni poa mkuu, umzima?Za kitambo mkuu?
ni poa mkuu, umzima?Za kitambo mkuu?
nipo mkuuUmepotelea wapi mkuu?
nipo mkuuUncles mussolin5
Umerudi mkuu?
Welcome back mkuunipo mkuu
Huku poa kabisa jiraniHuku ni poa, sijui huko jirani
Nchi yetu haina waandishi mkuuWasichana au wavulana kidedea darasa la saba mbona wanapisha hawa waandishi?au mm ndio sielewi
![]()
![]()
Amen*TUOMBE*
Tunakushukuru Mungu kwa kutufikisha siku hii ya leo. Tunaomba Moyo wa shukrani tuje mbele zako kwa sadaka,sifa na shukrani. Tunamkataa shetani na kazi zake zote kwa Moto wa Roho Mtakatifu . Tunaombea wote wenye mahitaji mbalimbali. Kutana na haja ya kila mmoja mmoja pamoja na familia zetu . Ni katika Jina la Yesu tumeomba tukiamini na kushukuru Amina.
SIKU NJEMA MBARIKIWE![]()
...utakauka mate bure, kuku ni kweli aliahidiwa lakini akatokea penzi jipya akapewa. Mimi nilijitahidi kumsisitiza anko atimize ahadi, akatishia kunisomea albadiri nikaona isiwe tabu, nikambeba kuku na nikamchinjia kabisa penzi jipya.
Labda nimletee manyoya ili angalau apate cha kujichokonolea sikio

Binamu asante sana muhenga me umenikumbusha mbali enzi za nyimbo hii ilivyokuwa inatamba halaf binamu naomba kesho tukutane central

My kids my life
Mkuu vipni poa mkuu, umzima?
My woman ! My kids! My lifeMy kids my life
My love
Take a good care of us!!!!My woman ! My kids! My life
Forever i will..Take a good care of us!!!!
That's my man!!!!Forever i will..