Makapuku Forum

Makapuku Forum

Dah!! Pole sana mkuu, unanikumbusha maisha ya antena.. geuzia mjini, kushoto.. hapo hapo.. aiyaa mbona umeichezesha hyo antena, fanya km unarudisha kushoto.. ewaa hapo hapo..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaan wachezesha antena uwakute shunie na tumosa vurugu tupu
 
IMG-20171021-WA0019.jpg
 
Back
Top Bottom