Hapo wameshagombana kuhusu zamu ya usafi na kuosha vyombo, wamechongoa midomo yao kama chuchunge au kama wanyakyusa wanajiandaa kusema tununu.. halaf ndio uwaambie wapande juu wakarekebishe antena, hilo nongwa lake sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaan wachezesha antena uwakute shunie na tumosa vurugu tupu
Morng jirani.Morning all KF
Na kwako pia jiraniView attachment 613589Asubuhi njema makapuku wote