Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Happy bd to himHeri ya siku ya kuzaliwa kwa Snoop mzee wa wida
Happy bd to himHeri ya siku ya kuzaliwa kwa Snoop mzee wa wida
Dunia sio yetu mkuueneo alilozikwa limebaki kuwa siri kubwa. R.i.p Gaddafi. Duniani wamepita watu.
Marahaba za uzimaMama shikamoo
Asante sana
Nzuriii mamaMarahaba za uzima
Bless uNzuriii mama
Hujambo T
Amen thanks alot God Bless youMama mchuchu..
![]()

AYUBU 42Cjambo uhali gani?Sakayo hajamboHujambo T
Mimi sijambo..Cjambo uhali gani?Sakayo hajambo
Wakuu matokeo ya LA saba yametoka
Sasa kuna mdogo wangu amepata alama C
Sasa hiyo ni kafeli au vp?!
Msaada wajameni

AYUBU 42
10. Kisha Bwana akaugeuza uteka wa Ayubu, hapo alipowaombea rafiki zake; Bwana naye akampa Ayubu mara mbili kuliko hayo aliyokuwa nayo kwanza.
kumbe tunapopata nafasi ya kuwaombea wenzetu Mungu hawezi kutuacha. tunaona kwenye Ayubu 42:10 Mungu aligeuza uteka wa Ayubu alipoombea rafiki zake.
Alipata maradufu ya awali.
Hivyo yatupasa kuacha ubinasfi tujifunze kuombeana wenyewe kwa wenyewe.
Mmoja wetu anapopatwa na shida tuache tabia ya kumjadili bali tumuombee ipo neema katika kuombeana
MCHANA MWEMA

Upweke me shem wangu huyo namuondoleaje upoje hivi njo shem wangu akuchukue uwe mke mwenzaEmbu muondolee upweke mwenzio bwana