Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Hapo wameshagombana kuhusu zamu ya usafi na kuosha vyombo, wamechongoa midomo yao kama chuchunge au kama wanyakyusa wanajiandaa kusema tununu.. halaf ndio uwaambie wapande juu wakarekebishe antena, hilo nongwa lake sasa![]()
![]()
![]()
Ukisema zungusha kushoto wao wanapeleka kulia, ukiwaambia hapo hapo, wao wanaendelea kuzungusha.. unaweza kukuta unawaambia zungusha zungusha kumbe hawazungushi.. ukinyata vizur unawakuta wamekaa pemben hawazungushi ila wanajidai kukuongelesha, hapo je, tungulushie wapi!!?![]()
![]()
![]()

