shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Morning too jirani, za pande hizoMorng jirani.
Morning too jirani, za pande hizoMorng jirani.
Huku ni poa, sijui huko jiraniMorning too jirani, za pande hizo
TUOMBE*
Hahahhah umenikumbusha dada alikua pasua kichwaHapo wameshagombana kuhusu zamu ya usafi na kuosha vyombo, wamechongoa midomo yao kama chuchunge au kama wanyakyusa wanajiandaa kusema tununu.. halaf ndio uwaambie wapande juu wakarekebishe antena, hilo nongwa lake sasa![]()
![]()
![]()
Ukisema zungusha kushoto wao wanapeleka kulia, ukiwaambia hapo hapo, wao wanaendelea kuzungusha.. unaweza kukuta unawaambia zungusha zungusha kumbe hawazungushi.. ukinyata vizur unawakuta wamekaa pemben hawazungushi ila wanajidai kukuongelesha, hapo je, tungulushie wapi!!?![]()
![]()
![]()
MkuuWakuu.
Amina mama kipenzi*TUOMBE*
Tunakushukuru Mungu kwa kutufikisha siku hii ya leo. Tunaomba Moyo wa shukrani tuje mbele zako kwa sadaka,sifa na shukrani. Tunamkataa shetani na kazi zake zote kwa Moto wa Roho Mtakatifu . Tunaombea wote wenye mahitaji mbalimbali. Kutana na haja ya kila mmoja mmoja pamoja na familia zetu . Ni katika Jina la Yesu tumeomba tukiamini na kushukuru Amina.
SIKU NJEMA MBARIKIWE![]()
Nilidhani nmeona mie tuu..Wasichana au wavulana kidedea darasa la saba mbona wanapisha hawa waandishi?au mm ndio sielewi
![]()
![]()
Wifi yake shunie..Hahahhah umenikumbusha dada alikua pasua kichwa

Sijui tuelewe lipi wavulana auNilidhani nmeona mie tuu..
Labda wanamaanisha tofauti
Huyo huyo pasua kichwaWifi yake shunie..![]()
![]()
Kazi kweli kweli, nikinunua sisomi hiyo habar, ntasoma habar nyingine, wasinipe headache bure mie.Sijui tuelewe lipi wavulana au
Haswaa ...Watoto wa kike huwa na nongwa..![]()
![]()
![]()
Wewe jamaa.Pray for me Guys am so Sick..
Hahahaa..Nilikua nawaza siku moja shule ibomoke niuchape usingizi..



Bless UAmina mama kipenzi