Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
Huyo huyo binamu yangu kipenziVee money ndo Vannesa Mdee?
Huyo huyo binamu yangu kipenziVee money ndo Vannesa Mdee?
Wapiiiii tetra mambo yake hayoMuziki: Kuchelewa Sifa Mbaya
Unaweza kushangaa ninavyojishangaa mar nyingi! Na ujue nini, hata sijui nini ninajishangaa maana kila nikianza lazima nianze na salamu, yeah kukusalimia wewe Kapuku unayelifanya jukwaa hili kuwa sehemu bora kabisa ya kuwepo. Asante nyingi kwako wewe unayenisoma sasa maana bila wewe hapa hapavutii.
Well, leo ni usiku mwingine na siku hii imekaa kireggae reggae tu nami bila hiyana sitaki kuchelwa maana kuchelewa si sifa nzuri. Usigune, maana kuna mtaa unaitwa Minuteman street wengi sana wamepanga maeneo haya maana ukitaka kupangishwa au kununua nyumba hucheleweshwi. Nimesema usigune kwani kuchelewa ni relative, wengine ukichelewa ndo unaonekana makini lakini ukiwahi sana ndo utaitwa majina lukuki. Mimi vyovyote iwe, nachelewa na kuwahi kutokana na mazingira sio mazingara nilipo na uhitaji wa wakati huo.
Muziki sasa, bado naendelea na Shaggy, ukimchoka unasema tunabadilisha
Eeehhh...Aiseeeee
Mchezo wa Netball ndio wenye radha chupi nje nje alafu unakuwa na uwezo mkubwa wa kupima papuchi za wad......da..
Mchezo mzur napenda kuutizama ni ule wa kushindanisha vikojoleo.....na kabla ya sketi wanatanguliza skinitaiti, basi mjomba wangu haoni raha kabisa kuangalia rede. Siku hizi anaenda kuangalia mashindano ya wadada kuogelea

Atukutukutu sikutaaaki umekondeana km karatasi oshiii oshiii.....kuuku weewee![]()
![]()

Yaan binamu jaman nimejikuta nacheka tu hivi una niniii lakini asante jamaan binamu yangu tunakupenda sisiMuziki wa Mdhamini
Ni chaguo la Shunie na japokuwa kuna masuala ya utekwaji yaliyomkuta anko wangu popote alipo ninapopajua basi anko mdogo Lyon Lee apokee dedication hii maana ni muhimu anko wangu ajue na akishajua basi sisi wengine tunaungana naye kuhakikisha dawa alizorogezewa zinafanya kazi vizuri.
Wapoooooo humu kapuku tu hawakuji moneytalk nilikua nae huko kwenye story muda si mrefuHa hahahahah, hivi Tetramelyz na moneytalk wamefichamana wapi
Duh!!!Binamu achana na salaam hii ya kawaida hivi huoni makiss hayo ya maka na mpendwa wako wanaanzaga hivyo hivyo ahahhaha ila huyo paka kiboko wa kukataa maziwa na kutaka icecream
Shunie hata wewe unanichimba ndugu yangu..

Naona ndio umeamkaEeehhh...
Hivi naanzaje kukuchimba me na wewe maka jamanDuh!!!![]()
![]()
Shunie hata wewe unanichimba ndugu yangu..
![]()
![]()
![]()
![]()
Teh teh teh.. huo ndio ukidume, huwez kuwa na mwanamke mmoja, kwan mama yako mzaz huyo.. (in sheikh kipozeo's voice)Huyo hawezi kuwa na presha hizo mambo kashazoea ana list yake akianza na mama ashura mvaa nini sijui bado muuza chapati na yule muuza supu akiwapanga kutoka mtwara mpaka dar wanafika

Teh teh teh.. huo ndio ukidume, huwez kuwa na mwanamke mmoja, kwan mama yako mzaz huyo.. (in sheikh kipozeo's voice)![]()
![]()
![]()












Yaan jombaa unaamin mim ntakufanyia figisu figisu katika penz lako, siwez na sifanyi michezo hyo mama kanikataza mimi, mpaka ntakapooa....nimemuona tu Maka throwing kisses to my apple pie husna muba utasema anko Magu akipiga pushups kwenye kampeni.
Ila ujue nini, Husna na mimi yaani Husobe ni ngumu sana kututenganisha, at least for now. Hivyo usiogope sana aunty na ninashukuru kwa kuliona hilo
Huyo ndio obe bwana, kila kwenye gest ana demu..Kumbe anko hili gome nalo ni lako kweli ?

....mimi kama makaveli10 , sionji kwanza, akishakuwa fundi ndo naonja. Sionji kitu kisichokoloa maana huwa sipendi kuongeza nikiona kimepungua.
Mimi sio wewe king Mswati
