Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Muziki wa Mdhamini
Ni chaguo la Shunie na japokuwa kuna masuala ya utekwaji yaliyomkuta anko wangu popote alipo ninapopajua basi anko mdogo Lyon Lee apokee dedication hii maana ni muhimu anko wangu ajue na akishajua basi sisi wengine tunaungana naye kuhakikisha dawa alizorogezewa zinafanya kazi vizuri.
