Makapuku Forum

Makapuku Forum

...oh ni yeye, lakini wewe si scout, huwa unaenda maporini kabisa kuibua vipaji, hadi ukivileta kwenye timu magoti yote hayana kazi.

Inabidi anko mkubwa aanze kuwafundisha upya
Hivi unanitafuta niniiiii nikiachana na anko wako ndio wewe na wale wa kufanya party mpo pamoja
 
...oh ni yeye, lakini wewe si scout, huwa unaenda maporini kabisa kuibua vipaji, hadi ukivileta kwenye timu magoti yote hayana kazi.

Inabidi anko mkubwa aanze kuwafundisha upya
Kumbe nyie hamna siri unayoyaonaa wewe weka kwapani
 
...sharing is caring. Unakuwa mchoyo kama umezaliwa kwenye nyumba ya ibada, kizuri unakula na wenzako.

Vinginevyo usituambie kama ni mtamu wakati wengine hatujamuonja
Hii tabia wewe na anko wako mkubwa hamuachii kumbe ya kuonja ili kuidhinisha ubora
 
Vyoteeee huyo huwa anasema humu akiwa na mwanamke akiagiza vinywaji ajilipie mwenyewe
Ila usinifananishe na yeye mambo ya fanta na kujilipiaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Back
Top Bottom