Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Karibu kapuku
Karibu kapuku
Bongo movie[emoji1][emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji307] [emoji307] [emoji307] [emoji307]
Hv "German machine iliishia wapi?!msinishangae... nauliza mda now ni saa ngapi kwa saa za kihome home ...nilipo hakuna ata jogoo
1973 - Margaret Wilson, mwandishi kutoka Marekani alifariki
1101 - Mtakatifu Bruno wa Cologne, padri mmonaki kutokaUjerumani alifariki
Aahh.. nilikuwa najionea tabu tuuPamoja sana, naona leo mapema kabisa hata Waingereza huwaangalii
Nakuonaa[emoji1] [emoji1][emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mpendwa banaa
Yaani watu walikuwa wanapanda mlima but wanaishia njiani hawafiki mwisho
So Leo ndio MTU alifika kileleni kwenye mlima huu kwa Mara ya kwanza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...alikuwa mtemi wa wapi huyu kweli?
![]()
Maana tunamjua Mkwawa wengine tuliofaulu mtihani wa darasa la nne
![]()
Anko heshima kwako
Na kwako pia kapukuView attachment 603063Asubuhi njema makapuku wote