mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
HmmmNtakucndikiza kaka angu
HmmmNtakucndikiza kaka angu
Ndimkafu kalumbu

Hatimaye wasiojulikana wamekuachia rafikiisalaaam nyingii wapendwaa
hahahahahahahahaha..... bado nimewatoroka kwa mda kidogoHatimaye wasiojulikana wamekuachia rafikii
Pamoja mjenzi wa taifasalaaam nyingii wapendwaa
Mbona waguna mzeeeHmmm
Nakuona weee mzee umebadilika na kuwa huyo kiumbe
Google tu utajua saa ngapimsinishangae... nauliza mda now ni saa ngapi kwa saa za kihome home ...nilipo hakuna ata jogoo
Pamoja mjenzi wa taifa
Umeona picha za harusi au leo bado akili imetekwavipi ushaoaa?
nimeulizaaa...ushaoaaa au unashika mapembe .....u.....uUmeona picha za harusi au leo bado akili imetekwa
Duuuuh we bado umetekwa akili yaani unawaza vitu ambavyo ni tofauti na akili yako ya kawaida au ndo umeoa jana unataka tukusimulie habari za ndoanimeulizaaa...ushaoaaa au unashika mapembe .....u.....u
😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉Duuuuh we bado umetekwa akili yaani unawaza vitu ambavyo ni tofauti na akili yako ya kawaida au ndo umeoa jana unataka tukusimulie habari za ndoa
Kweli kutekwa hakuwahi kumwacha mtu salamanilikuwepo salama nyingi kwa wote ....bila kusahau wale wanafiki wa jukwaaa hilii
Masoud KipanyaNakuona weee mzee umebadilika na kuwa huyo kiumbe
Sawa mzee hewaMasoud Kipanya
Wacha Uchokozi Rafikinimeulizaaa...ushaoaaa au unashika mapembe .....u.....u