Makapuku Forum

Makapuku Forum

1889 - Kilele cha Kilimanjaro kimefikiwa mara ya kwanza

...hapa ni lazima tuweke tofauti maana kuna kilele cha Kilimanjaro na kunakukifikia kilele, sasa sijalewa nitaenda na maana ya kihistoria

Ni hiki hapa chini ...

images


na sio kilele kwa maana ya orgasm maana Ijumaa hii huwezi kujua mtu kaianza saa ngapi

giphy.gif
 
1862 - Albert Beveridge, mwanasiasa na mwandishi kutokaMarekani
Alizaliwa


...akiwa senata hakupenda 'majimbo' ya New Mexico na Arizona yatwaliwe na USA kwa kuwa tu hayakuwa na 'weupe'wengi. Haya yalijaa Walatino na 'wenyeji' ambao kwake aliwaona kutokuwa na akili timamu za kujua maana ya kujitawala. Hata hivyo hakufanikiwa

ch16-age-of-imperialism-64-728.jpg
 
...hapa ni lazima tuweke tofauti maana kuna kilele cha Kilimanjaro na kunakukifikia kilele, sasa sijalewa nitaenda na maana ya kihistoria

Ni hiki hapa chini ...

images


na sio kilele kwa maana ya orgasm maana Ijumaa hii huwezi kujua mtu kaianza saa ngapi

giphy.gif
mpendwa banaa

Yaani watu walikuwa wanapanda mlima but wanaishia njiani hawafiki mwisho
So Leo ndio MTU alifika kileleni kwenye mlima huu kwa Mara ya kwanza
 
NENO LA SIKU

YAKOBO

5:15-18

Ungameni dhambi zenu ninyi kwa ninyi, na kuombeana, mpate kuponywa. Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii. Eliya alikuwa mwanadamu mwenye tabia moja na sisi, akaomba kwa bidii mvua isinyeshe, na mvua haikunyesha juu ya nchi muda wa miaka mitatu na miezi sita. Akaomba tena, mbingu zikatoa mvua, nayo nchi ikazaa matunda yake.
SIKU NJEMA WAPENDWA TUOMBEANE...LOVE YOU
Aminaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom