Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji15] [emoji15] [emoji15] wakali kushinda mie?!

...wewe ukali wako ni wa kipekee na ninaujua mwenyewe ndo maana sisikii sioni mbele yako.

Ukali wao hawa ni wa kuwa serious kama wanakuletea bill ya vinywaji customer service sifuri.

Mpenzi wangu, umeanza kufukua makaburi? Mbona mengine tulizika kibaniana yaani hata majivu tulimwaga baharini
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] naangalia km kuna usalama banaa
 
NENO LA SIKU

[emoji524]YAKOBO

5:15-18

Ungameni dhambi zenu ninyi kwa ninyi, na kuombeana, mpate kuponywa. Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii. Eliya alikuwa mwanadamu mwenye tabia moja na sisi, akaomba kwa bidii mvua isinyeshe, na mvua haikunyesha juu ya nchi muda wa miaka mitatu na miezi sita. Akaomba tena, mbingu zikatoa mvua, nayo nchi ikazaa matunda yake.
SIKU NJEMA WAPENDWA TUOMBEANE...LOVE YOU[emoji7][emoji7]
 
Asante kwa maombi na baraka za siku ya leo.
 
Tarehe 6 Oktoba ni siku ya 279 ya mwaka (ya 280 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 86.

Asante mpendwa wangu kwa kukileta kipengele hiki, kabla sijaenda kusaka hela ya bakulutu ngoja nikifuatilie

photo.jpg
 
Back
Top Bottom