BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Njema ubarikiweSalama tu, vipi hali yako mpendwa wangu..?

AmenAmini. Baraka ziwe juu yetu sote.. we love you zaid..![]()
![]()

...wanalala kwa nafasi yaani ulitaka walale mlalano wa mbwa hadi tuje tuwaachanishe.
Ukiona kaja huku ujue kaja kutafuta chaji

...ngoja nikuchoree nilivyo, kwanza nina kichwa kinachopendeza kipara, shingo nene kidogo, mrefu 5.10ft, tumbo huwa linabadilikabadilika ila mara nyingi ni 8pack halafu ni mweusi, macho mekundu. Sivuti sigara wala sinywi pombe, napenda K tatu maana Nyerere alihimiza sana tuzijue.
Nimesahau age kukuambia, age yangu siruhusiwi kugombea tena UVCCM au BAVICHA sasa nipo katikati hapo.
Afu napenda muziki
![]()
ndo ww huyoHakika tuombe bila kukoma
1Wathesalonike5:17
"ombeni bila kukoma;"
Neno linatuagiza kuomba bila kukoma. Maombi ni mawasiliano na Mungu, yatupasa kuomba kila wakati, hata kama hatujisikii kuomba yatupasa kuomba, hata kama tumechoka yatupasa kuomba. Kwani maombi zaidi huachilia nguvu ya Mungu zaidi, na maombi hafifu huachilia nguvu hafifu ya Mungu.
TUSICHOKE KUOMBA
MCHANA MWEMA MBARIKIWE![]()
Tubarikiwe sote tu kwa kweli...Njema ubarikiwe
Nawe pia barikiwa mpendwa
1Wathesalonike5:17
"ombeni bila kukoma;"
Neno linatuagiza kuomba bila kukoma. Maombi ni mawasiliano na Mungu, yatupasa kuomba kila wakati, hata kama hatujisikii kuomba yatupasa kuomba, hata kama tumechoka yatupasa kuomba. Kwani maombi zaidi huachilia nguvu ya Mungu zaidi, na maombi hafifu huachilia nguvu hafifu ya Mungu.
TUSICHOKE KUOMBA
MCHANA MWEMA MBARIKIWE![]()

Uhali gani shemelaTubarikiwe sote tu kwa kweli...
Salama wa salmin shemela, sijui wewe..Uhali gani shemela
Muziki: Utulivu Muhimu
...nilikuwa napata kigugumizi cha vidole kila nikitaka kuandika kipengele hiki leo, sina sababu sana ambayo unaweza kuielewa na kutoielewa kwako ndo kunatufanya sisi, yes, sisi hapa makapuku waheshimika na wengine, wale na wale kuwa binadamu. Oh, bahati mbaya nimeanza kuandika bila kukujulia hali. Sio mbaya kwani ninakusalimia sasa Kapuku mheshimika nikiamini kabisa umekuwa na wakati mzuri kwenye mihangaiko yako na sasa unajipumzisha kutafakari kesho. Na ujue nini, kapuku ni kama dola ya muingereza enzi zake zile, ukute mahali pengine ni saa tano unusu.
Kutulia, yeah, utulivu- composed ni ile hali ambayo hisia na mawao yako unayatawala, huwehuki na hii ni sifa si ya kila mtu na ndiyo maana Makapuku humu tunafanya mambo mengi na tunayafurahia. Kama sisi tunafurahia hakuna haja ya kujali mwingine anawaza nini. Biko aliwahi kusema anaandika anachotaka na mkulu wetu akasema hapangiwi bila kujua kuwa tumemweka madarakani na tumempangisha tu pale so asilete zake zile. Awe mtulivu, atunze kumbukumbu na hana haja ya kumsaidia mnyonge kama hajatuambia mnyonge ni nani maana ni rahisi sana kumnyonga mnyonge. Upo hapo, kuwa mtulivu.
Muziki sasa, leo tuburudike na mtaalamu anayejua kuandika, kuimba na kupiga piano bila makeke wala vurugu yaani ni utulivu tu ndo nakutakia tukiwa tunaiska Furahiday. Nakupenda Kapuku mwenzangu

Thats ma boi..
One kk obe samaki anamengi ya kusema ttz Maji mdomoni wee mkubwa umenielewa,one love![]()