Haa...kuumbee..aliuawa wakati wa gwaride nchini kwake
![]()
Hawakufikii hata robo..![]()
![]()
wakali kushinda mie?!
...asante kwa ufafanuzi, haya mambo ya kileleni bhana mtu kama mjomba wangu bila kumfafanulia hivi utamwingiza dhambini bure atataka kwenda kwa MC akamdadavue vizuri
Mind you, kumdadavua ni kumchimba ili aelewe yaani afike kileleni, am I making myself clear or what?

Shaka ondoa ...na uzuri ramani zote nshaoneshwa....nimeipokea na kukurudishia anko wangu. Leo ijumaa, usitekwe ukatafuta sababu, usiseme sijakukumbusha
OK karibuuIjmaa nzuri mwenyezi Mungu katuwezesha kuiona...kwa udhamini wa lee empire unbeliavable facts zinawajia ....
Lee empire majukumu anadai yamekuwa mengi akiwa na mda atakuja kuwapa hi...
Love you too..NENO LA SIKU
YAKOBO
5:15-18
Ungameni dhambi zenu ninyi kwa ninyi, na kuombeana, mpate kuponywa. Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii. Eliya alikuwa mwanadamu mwenye tabia moja na sisi, akaomba kwa bidii mvua isinyeshe, na mvua haikunyesha juu ya nchi muda wa miaka mitatu na miezi sita. Akaomba tena, mbingu zikatoa mvua, nayo nchi ikazaa matunda yake.
SIKU NJEMA WAPENDWA TUOMBEANE...LOVE YOU![]()
Kilele!!! Kwahyo watu walifikishwa kileleni..1889 - Kilele cha Kilimanjaro kimefikiwa mara ya kwanza

Venice ni kamji kazuri.....alisifika kwa 'nepotism' kuweka madarakani watu wenye nasaba naye na pia kkujilimbikizia mali katika mji aliozaliwa Venice
![]()
....nimeipokea na kukurudishia anko wangu. Leo ijumaa, usitekwe ukatafuta sababu, usiseme sijakukumbusha
Ya mtemi mpwawa haipo.. hivi alikuwa mtemi wa wapi huyu..Vizuri sana hivi picha ya mtemi mpwawa haipo mbona tunaona za wazungu tu za miaka ya hiyo iliyopita.
kunradhi, kitumbua c andazi