Nzuri kabisa mkuu, za familia yakoMorning mkuu,za cku tele?
Natumai uko poa[emoji4]husna na mpendwa?
[emoji15] [emoji87] alifumAniwa au?!Tuko pamoja sana Lee empire
Pole kwa kipigo cha juzi
Ahaaa... Kumbe mpira[emoji1]Si mabingwa watetezi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] wakali kushinda mie?!......kuna mademu wakali sana hapo Hekima
Napambana hali yanguMmmh
TUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO kwa udhamini mnono wa dj Obe
Pamoja sana mdau Obe...asante sana mdau kwa kunipa heshma ya kudhamini magazeti.
Ujue nini, safu ya magazeti ndo hutufanya makapukupu tuianze siku vizuri kabisa.
Furahiday Njema Makapuku.
NB: Mkiwa mnashukuru Shululu kuweka magazeti msinisahau mdhamini
[emoji23] asante mpendwa kwa udhamin mnono kabisaa...asante sana mdau kwa kunipa heshma ya kudhamini magazeti.
Ujue nini, safu ya magazeti ndo hutufanya makapukupu tuianze siku vizuri kabisa.
Furahiday Njema Makapuku.
NB: Mkiwa mnashukuru Shululu kuweka magazeti msinisahau mdhamini
Nawe pia kapuku muheshimika[emoji4] [emoji4]Furahiday Njema Makapuku
![]()
[emoji23] asante mpendwa kwa udhamin mnono kabisaa