Makapuku Forum

Makapuku Forum

Safi.. nyie ndio wazaz wabov nyie, sasa ulitaka afanyaje, atafunwe yeye, anatafuna lakin unakereka angekuwa anatafunwa yeye jee..

Safi sana chukua dogo janja, we waweke tuu, kata mbuno uwezavyo.

Kama karithi poa, vya kurithi hupitiliza.

Huyu anaweza akawa mjukuu wangu mimi au babu yetu ni mmoja
Woooooyooo kaka mkubwa chukua hizi
 
Zaburi 122

1 Nalifurahi waliponiambia, Na twende nyumbani kwa BWANA.

2 Miguu yetu imesimama Ndani ya malango yako, Ee Yerusalemu.

3 Ee Yerusalemu uliyejengwa Kama mji ulioshikamana,

4 Huko ndiko walikopanda kabila, Kabila za BWANA; Ushuhuda kwa Israeli, Walishukuru jina la BWANA.

5 Maana huko viliwekwa viti vya hukumu, Viti vya enzi vya mbari ya Daudi.
Amina
 
TUOMBE*
Tunakushukuru kwa kutufikisha siku hii ya leo. Baba zidi kutupigania, tupiganie katika kazi,biashara,Familia,Maisha na Mahitaji yetu mbalimbali. Tunajitakasa Kwa Damu ya YESU. Tunateketeza,Ng'oa na kuharibu kazi za shetani kwa Moto wa Roho Mtakatifu. Eeh Mungu kumbuka Taifa letu na watu wake, tuongoze kila tutakapo kuwa leo.ponya wagonjwa na wape faraja wafiwa,angalia wajane,wagane,yatima na wenye mapito mbalimbali uwe pamoja nasi siku yaleo Roho Mtakatifu kaa nasi utuongoze, Ni katika Jina la Yesu tunaomba,tukiamini na kushukuru Amina.

SIKU NJEMA FAMILIA ,MUNGU AWABARIKI SANA
Asante mamy wanguuu, be blessed
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom