Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yakwepe hivyo hivyo maka sio mazuri ujue
Raha mkulane kiukweli ukweli au sio, sio bby bby, kumbe hata jina lake halisi hujui..[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Shunie umenikosha wew, na kunisuuza kabsa, kunywa soda kubwa lile nakuja kulipa.
 
Mama naona likes zako ebu mama mwambie shululu kuhusu me na mkweo Lee [emoji253] [emoji253] [emoji259] [emoji259] [emoji255] [emoji255] [emoji257] [emoji257] [emoji7] [emoji7] [emoji7] nakupenda mama yangu anajua me na Lee eti mapenzi yetu ya jukwaani kama wao eti hajui kama me na Lee tunaishi wote
Safu, naipenda hii..

Mnanidai buku 2, buku kwa kila mmoja..

Jumla buku nne kasoro buku iwe buku 5
 
Kweliii shemela ujue baba d kanikumbusha mtu muhimu sana mukongo jamaan nikikumbuka Mukongo popote ulipo asante sana kwa kuniletea baba d wangu [emoji120] tulianza kibongo movie mpaka sasa tulipofikia tunamshkuru Mungu bongo movie tumewaachia wengine mukongo
Katika watu niliowamisi ni mwanangu werrason
 
[emoji524]Asante Mungu mwema na muweza katika maisha yetu nakushukuru kwa siku hii hakika imekua njema, tumekukwaza na kukukosea sana naomba utusamehe, tulinde usiku huu na hila zote, tuamshe kesho tukiwa na nguvu, amani na Furaha katika jina LA Yesu Kristo

Amen


USIKU MWEMA MLALE SALAMA WAPENDWA MBARIKIWE[emoji120][emoji7] [emoji7] [emoji7]
Nawe pia, mpendwa.
 
Back
Top Bottom