shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Nawe pia na asante kwa magazeti
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Nawe pia na asante kwa magazeti
Mijichooo km fundi saa anatafuta mshale Wa sekunde[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Husobe .....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mijichooo km fundi saa anatafuta mshale Wa sekunde
Husobe kapitaaa
Sawaaaa.....nimekusoma km fiestaHusobe .....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Macho kama binamu anaokota shanga za mwajuma
Bangiii hizo mpelekee shededeBinamu lee weka hata 4 banaa
Mdomoo huooSawaaaa.....nimekusoma km fiesta
Huyo binamu wako keshakuwa baba mkwe wako umuheshimiee
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Miss you too my wifiiii[emoji23]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] luv u too mom[emoji524]ZABURI 121
5 BWANA ndiye mlinzi wako; BWANA ni uvuli mkono wako wa kuume.
6 Jua halitakupiga mchana, Wala mwezi wakati wa usiku.
7 BWANA atakulinda na mabaya yote, Atakulinda nafsi yako.
8 BWANA atakulinda utokapo na uingiapo, Tangu sasa na hata milele.
NAWATAKIA JUMAPILI NJEMA NA IBADA NJEMA NAWAPENDA MJUE...[emoji7] [emoji7] [emoji7] MJIPENDE ZAIDI KWA KUUTAFUTA UFALME WA MUNGU KWA BIDII..SHALOM SHALOM[emoji120]
Hhmm.. ujue na mie maskani ni kigamboni..Kwa mama mchuchu
Bado.. hata maombi sijapeleka.Mama ashakukubaria ?
Mbona cheko jombaa..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Vip hali jirani.. maana ndio naamkaMorning all kapuku
Ahsante n kwako pia.[emoji524]ZABURI 121
5 BWANA ndiye mlinzi wako; BWANA ni uvuli mkono wako wa kuume.
6 Jua halitakupiga mchana, Wala mwezi wakati wa usiku.
7 BWANA atakulinda na mabaya yote, Atakulinda nafsi yako.
8 BWANA atakulinda utokapo na uingiapo, Tangu sasa na hata milele.
NAWATAKIA JUMAPILI NJEMA NA IBADA NJEMA NAWAPENDA MJUE...[emoji7] [emoji7] [emoji7] MJIPENDE ZAIDI KWA KUUTAFUTA UFALME WA MUNGU KWA BIDII..SHALOM SHALOM[emoji120]
Asante mpendwa wa obeHongera kwa 279k