Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Baba D jaman usinifanyie hivyo ujue nitakufwaSwty sio kwelii
Baba D jaman usinifanyie hivyo ujue nitakufwaSwty sio kwelii
Waambie umenyanganywaaMdau, umerudi tunafurahi sana, saa ya zamani ni zilipendwa, siku hizi nina Samsung Galaxy mpya full emoji.
Mzima lakini
Ujue wewe bado mgeniii kabisaa ....na sisi tuna list ya wabaya wetu
Ata siku badooo unataka tukujumuishee
Karibu kakaNafurahi kusikia mzima dadake
Mwambie tunampenda na akaribie.Mgeni
Mbona sasa unaenda kinyumeUjue anko me ndo mtetezi mkubwa hapa, waone tu kina Tumosa na Shululu, fitna aanazokupiga lakini mimi damu ya kunguni ndo naangushiwa jumba bovu
Mi mzima mzee wa saa za zilipendwa nimefurahi kuona jukwaa linaendelea kusongaMdau, umerudi tunafurahi sana, saa ya zamani ni zilipendwa, siku hizi nina Samsung Galaxy mpya full emoji.
Mzima lakini

Sasa mama bei ya iphone x si shamba letu la kibit tuongezee mihogo ....Ebu niambie ukweli baba d kuhusu kuhonga hiyo iPhone ×
Dada usitafute ugonjwa wa moyo na hayo mengine mvute pembeni tusijue kama kahonga kweli (natania tu)Ebu niambie ukweli baba d kuhusu kuhonga hiyo iPhone ×
Na lile tako la mkaanga sambusa vip
Ndio dingi nimelipa kibendi linataka liwafaham wazazi wanguKampelekee lile limama lililokutekaa
Kweliii kabisaYale majina ya wabaya wetu tuliyawekea lamination, itabidi tumuongeze tu hakuna namna
Mi niko vizuri kushugulikia wabaya wanao kukosesha amaniNamuoana wee muachee kwanza
Amenyang'anywa tenaWaambie umenyanganywaa
Ntalipajeee wakatiii wewe ndo cordinatorUsinikumbushe , lile ni kalio mchomoko, yaani kwenye Dela linapendeza sana. Ila ulikosea sana sambusa na mpika sambusa ulikula bila kulipa. Mjomba wangu ujue hata shetani akikutizama huwa anajiona yeye ni mtakatifu
Binamu buguruni nitoe nilipita kukusindikizaaa
Wewe pambana nayee mwambie wazaz hawajulikanNdio dingi nimelipa kibendi linataka liwafaham wazazi wangu
Kitambooo...Amenyang'anywa tena
Asante dadake nashukuru kwa ukarimu wenuKaribu kaka