Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Anaogopa kuopoa bibi zake[emoji1] [emoji1]Hahahaaaaaa....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ray umeuaa mkuu
Anaogopa kuopoa bibi zake[emoji1] [emoji1]Hahahaaaaaa....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ray umeuaa mkuu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mkuu umekunywaa viroba au ndo mambo ya tupac na chid benz
Muache ajipe raha banaa[emoji1] [emoji1]Mkuu..
Kuwa na heshima basi..
Mbona unakuwa na mambo ya kike?
Shauri zakeAnaogopa kuopoa bibi zake[emoji1] [emoji1]
Ndio s huyo?
Raha zake ila asinihusishe mimi wala Sakayo.Muache ajipe raha banaa[emoji1] [emoji1]
NdioNdio s huyo?
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Haka kawimbo hua katam duh!
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Nimeokoka bro ila Chid akimaliza ngoma yake na Pac na mimi nitafanya Remix nimshirikishe na Notorius BIG
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Niache nivute pumzi kidogo bhana...
![]()
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ewaaaa... hakikisha unapambana na hali yako
![]()
Me na urojo tofautiNITAKULETEA UROJO TRH 10..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dudeeeeSi unajua vile nawapenda wewe na lee.
Lee haendi tena mmu.! Afu weww sitaki nikukwaze kabisa yaani.
Manake dude likiamshwa wewe ndio ndio unakuwaga msaada wangu. [emoji3][emoji3]
Sasa upumzike. D analia huko.
Hiyo ya kutekwa tena we shemela hapanaKwa nini shemela
Dude ndio..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dudeeee
Nimecheka nini ujue T mana likianza kuamshwa tunabadilikiwa wote leo nimeongea nae kwenye simu nimemsema sana dada ananiambia T ndio kakutuma nikamwambia T sijaongea nae chochote ila tu sipendi mimi ukianza mbadilikia TDude ndio..
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Unamvaliaa ngapiiii
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Ushampaa binamu wangu puchuuu
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Naona huna Gharama ya sabuni mpendwa wa obe