shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Vip tena
Vip tena
AmenNayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu
![]()
WAFILIPI 4:13
MUWE NA MCHANA MWEMA NA EID NJEMA MBARIKIWE SANA![]()
![]()
Shemela za mchanaMdogo wake wa mama ashura ndio naniiiiii
Sijambo mie babu sijui weweMarhabaa mjukuu wangu.... Jambo wewe?
MahabaaaBabu yake dada shikamoo
MmhhHa ha ha ha ha ha.... Mabachelor wanafanya kazi zao za nyumbani.
Nisipomtetea mimi amtetee nani jamanKwa kumtetea mumeo wewe!!!!??
Acha vingine vitupitePopote unapoamua tu mjukuu wangu
Salama shemela wangu za wewe jamanShemela za mchana
Ahahhah babu banaMahabaaa
Nzuri kabisa shemela, D hajamboSalama shemela wangu za wewe jaman
Mimi niko poa mjukuu wangu....Sijambo mie babu sijui wewe
Sawa kabisa.... Muhimu sana kuwatetea uwapendao.... Ni namna moja ya kuonyesha mapenzi Kwa mwenza wako... Na wale wote unaowapendaNisipomtetea mimi amtetee nani jaman
D hajambo sana shemela sijui wakina jjNzuri kabisa shemela, D hajambo
Ukifuatilia kila kitu katika utakuwa chizi mjukuu wangu... Mungu atukinge na mabaya.Acha vingine vitupite
Asante babuSawa kabisa.... Muhimu sana kuwatetea uwapendao.... Ni namna moja ya kuonyesha mapenzi Kwa mwenza wako... Na wale wote unaowapenda
Ameeen babuUkifuatilia kila kitu katika utakuwa chizi mjukuu wangu... Mungu atukinge na mabaya.
Husna utwambie..... Ile tatoo ya Obe umechora wapi?
DuuuuTubhosangele