mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
Unajua kumtilia mashaka mwanamme mwenzio juu ya uanaume wake ni noooma..... Rafiki kipeeeeenz.Wapiii nimechokonoaaa
Unajua kumtilia mashaka mwanamme mwenzio juu ya uanaume wake ni noooma..... Rafiki kipeeeeenz.Wapiii nimechokonoaaa
We mpendwa wa binamu unaharibu ndoa ya watuWatu mpaka wamezaa we unaona mautani tu
Mdogo wake wa mama ashura ndio naniiiiiiKwa mdogo wake mama ashura
Hata yule Queen wake mbona anazo kibao tu
MmmhhhhUnamvaliaa ngapiiii
Kazi za nyumbani tena kwani mkeo anafanya kazi gani kama zote unafanya weweJana nililala early ndo nimeicheki now!
Ngoja nifanye kazi za nyumbani kidogo!
DJ sepetu
Ulishajibiwa baba dSorr eti wewe ni dume au jikee
EeenhUshampaa binamu wangu puchuuu
Shikamoo Babu sio uchokozi we kazi za nyumbani anafanyaga naniiiiiLee mbona mchokozi??
Aiseeeee tatoo zinachorwa wapiiiHuyo havaagi Shanga ....anachora tatuu.
Mambo ya id fake haya lolote linawezekanaMtu anajiita Muosha rungu halafu bado unamuuliza kama ni jike Au dume?
Labda inahusika baba dSijaelewaaa....au unataka nibaki na labda
TehMkuu sio kwa ubaya ...ila jina la muoshaaa naliwekeaa kipeuo cha piliii
Babu yake dada shikamooHapo sasa....
Popote unapoamua tu mjukuu wanguAiseeeee tatoo zinachorwa wapiii
Kwa kumtetea mumeo wewe!!!!??Mambo ya id fake haya lolote linawezekana
Ha ha ha ha ha ha.... Mabachelor wanafanya kazi zao za nyumbani.Shikamoo Babu sio uchokozi we kazi za nyumbani anafanyaga naniiiii
Marhabaa mjukuu wangu.... Jambo wewe?Shikamoo Babu sio uchokozi we kazi za nyumbani anafanyaga naniiiii
HaaaaahaaaaUnaikumbuka hii Eid ya mwaka jana
View attachment 579489