shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Mtu anajiita Muosha rungu halafu bado unamuuliza kama ni jike Au dume?Kipenz nimeulizaaa mm tuu
Naona huna Gharama ya sabuni mpendwa wa obeLoh shikamoo mpendwa
AiseeHuyo havaagi Shanga ....anachora tatuu.

Kwann umeuliza hivyo mukuru!Sorr eti wewe ni dume au jikee
Ha ahahhahahaha, usizunguke sana weee mtu mzima, sema tu ni jikeMtu anajiita Muosha rungu halafu bado unamuuliza kama ni jike Au dume?
Naona huna Gharama ya sabuni mpendwa wa obe
Akili ndogo haiwez kushindana Na kubwaHa ahahhahahaha, usizunguke sana weee mtu mzima, sema tu ni jike
Hilo dume tena janja..... Yaani hio interview ni mbinu ya kucustomise.... Siku ukiona Husna kafanyiwa interview basi kaa vizuri.Ha ahahhahahaha, usizunguke sana weee mtu mzima, sema tu ni jike
Ha ha ha ha ha haUnaikumbuka hii Eid ya mwaka jana
View attachment 579489
Kwa hiyo we unaonajeMtu anajiita Muosha rungu halafu bado unamuuliza kama ni jike Au dume?
Hilo dume tena janja..... Yaani hio interview ni mbinu ya kucustomise.... Siku ukiona Husna kafanyiwa interview basi kaa vizuri.
Mi najua wewe ni dume... Au nimekosea?Kwa hiyo we unaonaje
DJ sepetu
Poa hujakoseaMi najua wewe ni dume... Au nimekosea?
Hadi nimuite mimiBabu akee mieee..... Ni venye nakuhamu tuuu
Na pa kunipata umeshapasahau?Babu akee mieee..... Ni venye nakuhamu tuuu