Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Minal faidhina
Hilo dume tena janja..... Yaani hio interview ni mbinu ya kucustomise.... Siku ukiona Husna kafanyiwa interview basi kaa vizuri.

Likiamshwa mara ngapi?Nimecheka nini ujue T mana likianza kuamshwa tunabadilikiwa wote leo nimeongea nae kwenye simu nimemsema sana dada ananiambia T ndio kakutuma nikamwambia T sijaongea nae chochote ila tu sipendi mimi ukianza mbadilikia T
Husna ndo nani huyo nimfanyie interview mwezi ujao maana nafasi kwa sasa zimejaa
DJ sepetu

Akuuu mi simooooWe mpendwa wa binamu unaharibu ndoa ya watu
Umuulize baba d wakoMdogo wake wa mama ashura ndio naniiiiii
Ndio baba d wako huyooEeenh
Pengine ni msela jameniiShikamoo Babu sio uchokozi we kazi za nyumbani anafanyaga naniiiii
Acheni hizo naniii usiniingize mie kwenye hizo mambo zenu kabisa za hongeraLikiamshwa mara ngapi?
Kuna hongera zinatolewa hapa kp ila hamjui tuu...
Acheni hizo mambo aise..
Husna utwambie..... Ile tatoo ya Obe umechora wapi?

Nilete ile comment yako ya Hongera?Acheni hizo naniii usiniingize mie kwenye hizo mambo zenu kabisa za hongera
WivuuuuuRaha zake ila asinihusishe mimi wala Sakayo.
Mwambie afunike paja hilooNdio
Kwani weww mbona ukisikia mtu amemmiss bitoz unatakaga kulia..Wivuuuuu


Lete halaf uone nilivyouliza nakumbuka nilichoandika nimeuliza unapewa hongera ya nini na mm nikupe nafunga mada kuhusu hizo mambo zenu usiniquoteNilete ile comment yako ya Hongera?
Pouwa..Mwambie afunike paja hiloo