Kwa mdogo wake mama ashuraHaya anko wako hizo 700 anapenda wapiiii mbona ananiambia hazipendi jaman
Nishakujibunini sasa.... mbona macho hayo tena.... afu hujajibu swali langu ushawahi kukojozwa 😛😛😛😛😛😛..
Makaburi ya enzi ya mkoloni hayoo hebu yapotezeeIla nasikia alishasahau mkoba kwa bitoz...![]()
Huu ulikuwa ni mwezi wenye maana sana kwangu, kwanza ni mwezi wa 8 na ndiyo mwezi niliozaliwa. tarehe ishapita. nilitaka ujue tu.
Na nimeona WCF wamevaa mawigi kana kwamba wamekuja na ubunifu mpya, ha hahahahaha! At least tujenge tabia ya kusema mavazi yetu yamekuwa influenced na Outcast

sikupatii picha ulivyo mwepesi hapo.... kwa kuwa kumekucha sasa mjadala utaendelea baadae jioniii🙄🙄🙄

Binamu nambie nan kasemaa...
Husna najua hawez make nimemtunziaa siriiii ....sema na yeye havumii ila yumoo

Same to you shululuView attachment 579464Asubuhi njema makapuku wote na siku kuu njema
Sorr eti wewe ni dume au jikeeJana nililala early ndo nimeicheki now!
Ngoja nifanye kazi za nyumbani kidogo!
DJ sepetu
Unamvaliaa ngapiiii![]()
we unapendaga ngapi?!
![]()
SalaaaamBabu akee mieee..... Ni venye nakuhamu tuuu
Ushampaa binamu wangu puchuuu
Lee mbona mchokozi??Sorr eti wewe ni dume au jikee
Watu mpaka wamezaa we unaona mautani tuHivi dada toka lini mautani ya kapuku ukachukulia serious usimfanyie T wa watu hivyo sio vizuri jaman
Kipenz nimeulizaaa mm tuuLee mbona mchokozi??
Huyo havaagi Shanga ....anachora tatuu.
Loh shikamoo mpendwa...huna haja ya kuoga, wanaume wengi tunapendaga sana kale kaharufu ka kikwapa na papa orijino na sio nguru