Abee TShunie
Marhabaaaa...Sawa babu..
Shikamoo
Mimi nimekuita si uitike tuu...Abee T
Baba D sio wa hivyo jaman sio wa kuzurula majukwaa huyo mondray aende tu mwenyewe ujue ukimuona baba d mmu yupo nyuma yangu ananifata
Aiseee...Haya namm nawakaribisheni kesho Pilau ya biliani nikiwa nimeiandaa mwenyewe na Totoo languu
Ewaaa....Woyooooooo babu yake dyadya akee shunie
Amina babu...Ewaaa....
Hakika mimi na wewe tutakuwa sote kwenye ufalme wa mbinguni...
Basi jaman T abeeeeeehMimi nimekuita si uitike tuu...
Isha ya nini sasa hiyo?
Ututumie basi kwenye Azam marineHaya namm nawakaribisheni kesho Pilau ya biliani nikiwa nimeiandaa mwenyewe na Totoo languu
Ameeen babu mapicha picha basi nimeyamisimoEwaaa....
Hakika mimi na wewe tutakuwa sote kwenye ufalme wa mbinguni...
Ututumie basi kwenye Azam marine
Ututumie basi kwenye Azam marine
Niache nivute pumzi kidogo bhana...Ameeen babu mapicha picha basi nimeyamisimo
napambana na hali yanguNa wewe jee
Nashukuru, hawajawahi kuniangusha...Amina babu...
Wajukuu wako uliwalea vizuri sana
Si unajua vile nawapenda wewe na lee.Basi jaman T abeeeeeeh


Asante babu kwa kuwaleza vizuri..Nashukuru, hawajawahi kuniangusha...
View attachment 579276
Na wewe pia kijanaUSIKU MWEMAA NYOTEE NAWATAKIA EID NJEMA...
Siku hizi nazingatia sana ibada..Marhabaaaa...
Jitahidi utende mema, nakuahidi mizigo ya kutosha ahera kule...
Mizigo 60 kwa nguvu za mizigo mia....