Makapuku Forum

Makapuku Forum

122ff88955bc7aeed0dff50eb7dc137a.jpg


Sakayo uwe unanipitia kazini mama.
Usijali babaa... Mie ndo dere wako
 
5/Scott Hall
0b679fcc5998cb296ef1bb842c5db358.jpg
5eab8ad9de0fa3fa4fcee60ad4a2de1f.jpg
0d2f223f7a598d4c5c6c38b34ec81a8e.jpg

Alizaliwa mwaka 1958 tarehe 20 Octoba
Huyu ni mcheza mieleka nguli aliyezaliwa jijini Maryland
Alianza kucheza mieleka miaka ya 1980 huko Florida baada ya kujiunga na WCW na kuonesha umwamba hivyo kulamba mkatab mnono
Aloendelea na mieleka kisha akajikita pia kucheza filamu
Kuna chanzo kinaonesha ana utajiri wake unafikia USD 90 Milioni

Ila kwa mujibu wa list yangu utajiri wake ni USD 30 Milioni
..........
 
TOP TEN
Kama kawaida week end huanza ijumaa ila kwa watu wenye mkwanja wa maana kila siku ni sawa na week end yaani kama ni kupiga mitungi wanapiga kila siku
Kwa sisi tunaoishi uswahilini kipindi cha JK kila siku kwetu ilikuwa ni week end ni mwendo wa kupoga viroba kuanzia asubuhi,usiku tunaruka vigodoro huku giza likiingia tunajiachia na akina Mwajuma ila awamu hii ishaleta mkosi sheria kibao za kibwege utafikiri nchi ya kusadikika iliyoongozwa na Mfalme Juh.a
c32dc0ce41d5245fccf64fb9fcf2f110.jpg

Haya sasa nimalizie week mapema kwa kumi kubwa zen watu tuendeleeratiba zetu za kula gambe
Juzi juzi nilimwelrzea Hulk Hogan kwamba babu anapiga prsa yule kutokana na mchezo wa mieleka na filamu
Sasa leo tuwaangalie wanamieleka kumi wenye mpunga wa kueleweka
Wapo wengi ila nimewachagua kumi tu

Karibuni
..........
Asante
 
8/Stephanie McMahon
0577ba98f924528e9fd4b85599f51662.jpg
8d9fc5ce755ed0ff000d96b8eae26bf1.jpg
fac2f76af19f7b0f5c09146ce08d1966.jpg

Alizaliwa Septemba 24 mwaka 1976
Ukimwangalia haraka haraka unaweza fikiri ni mrembo tu wa chipsi mayai kumbe yupo fiti na siyo wa kuchokozwa chokozwa
Huyu ni malkia wa mieleka duniani
Ndiye mwanamieleka maarufu wa kike na anapiga pesa ndefu kimyakimya
Ni binti wa mcheza mieleka maarufu wa zamani Vince McMahon ambaye alitamba vilivyo
Anatajwa kuwa mwanamieleka wa kike mrembo zaidi duniani

Ana utajiri wa USD 25 Milioni ila Vyanzo vingine vinadai ni USD 60 Milioni(labda wanaongea utajiri wa familia au buzi lake)
.......

Mrembo sema kakomaa sana
 
4/John Cena
68ec7ec9482582c25daee8b494f74be8.jpg
0a88d7eb3f8fb8d414cd1cf0d5124cb1.jpg
b0abdf0396b498652d719a0872a63830.jpg

Alizaliwa April 23 mnamo mwaka 1977
Hivi huyu ni nahodha wa wacheza mieleka ? Maana muda wote anafunga beji mkononi kama Michael Carrick vile
Huyu ni mbabe wa mieleka aliyetukuka kwa kugawa vipondo
Keshatwaa mataji kibao tena kwa staili ya kibabe
Sikumbuki kumuona na kichupi ulingoni labda ana makalio kama ya Bashite maana kila siku ni kaptula tu
Anajishughulisha pia na filamu na muziki

Juzijuzi tu kamvisha pete demu wake mwanamieleka

Ana utajiri wa USD 40 Milioni(vyanzo vingine vinadai ni USD 55 Milioni)
.......
 
5/Triple H
04cc1c7dd704a5a6e5280c00bb60c769.jpg
e2471223c22bd8d45a5c5dfbd10cca42.jpg
4bf37e2639bb8267384bd1bbc83eab03.jpg

Alizaliwa Julai 27 mwaka 1969
Namwongelea Triple H na sio yule Triple 6 wa Jf ambaye ni maarufu kwa kutukana
Huyu ni bingwa mara kadhaa wa mieleka na pia ni mcheza filamu mahiri
Triple H maana yake ni Hunter Heart Hensley sasa kama ulijua ni tofauti sawa na zile KKK mimi sijui
Anatajwa kuwa miongoni mwa masupastaa wa WWE wa muda wote
Ana utajiri wa USD 30 Milioni
....................................
Zitaendelea baadaye

Namuelewa sanaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom