Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
I think wana- sayansi hawapendi uzee![]()
Wanasayansi huliita tunda hili mfalme wa matunda duniani kutokana na kuwa na kazi nyingi mwilini kuliko matunda yote
Ukiacha kuukinga mwili na kemikali hatari na kuweka kinga ya mwili dhidi ya magonjwa mengi sana
Sifa kuu ya tunda hili ni pamoja na kumfanya mtu kutokuonekana mzee hata kama umri wake ni mkubwa mno
Joked




post using my macbook air using jamiiforums app


