shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Pamoja sana mdauAhsante ndau
Nikutakie week end njema
.....
Pamoja sana mdauAhsante ndau
Nikutakie week end njema
.....
Mitambo ya kinyaki![]()
Ngoja nitest mitambo hapa
Ipo siku nitaingia baharini kuisaka hiyo rekodi
![]()
![]()
![]()
....

HBD PohambaLeo katika Historia
1935 - Hifikepunye Pohamba anazaliwa.
Ni Rais wa pili wa Namibia.
Leo katika Historia
2008 - Rais Pervez Musharaf wa Pakistan, analazimishwa kujiuzulu wadhifa wa Urais wa nchi hiyo.
Licha ya kuwa Rais, pia alikuwa ni Jenerali katika Jeshi la Nchi hiyo.
Asante ankali JJ kwa historiaKweli mwezi August ni mwezi wa kuzaliwa kwa viongozi.
Kwa udhamini mnono wa [HASHTAG]#TeamWekaPicha[/HASHTAG] tukutane tena kesho.
Niite Jimena Jimenes
Adios
Mkuu vip
Asante, nawe piaNawatakia siku njema..!!View attachment 569430
Leo katika Historia
1933 - Just Fontaine anazaliwa.
Ni straika wa zamani wa Timu ya Taifa ya Ufaransa.
Anashikilia rekodi ya kufunga magoli 13 katika michezo 6 aliyocheza ya kombe la Dunia, katika michuano iliyofanyika pale Sweden mwaka 1958.
Alishiriki kombe la Dunia mara moja na Kufunga goli 13. Ni rekodi ya pekee.
Leo katika Historia
1935 - Hifikepunye Pohamba anazaliwa.
Ni Rais wa pili wa Namibia.
Leo katika Historia
1962 - Felipe Calderon anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa 56 wa Mexico.
Leo katika Historia
1980 - Esteban Cambiasso anazaliwa.
Ni kiungo mkabaji wa zamani wa Real Madrid, Inter Milan, Leicester City na timu ya taifa ya Argentina.
Anajulikana zaidi kwa staili yake ya Kipara.
Katika Kombe la Dunia mwaka 2006, Cambiasso alifunga goli dhidi ya Serbia, goli hilo lilitokana na idadi ya pasi 23 bila kuguswa na mchezaji wa Serbia.
Fresh kabisaVip mdau, uko poa
Leo katika Historia
1984 - Ni siku ya kuzaliwa kwa Robert Huth.
Ni beki wa zamani wa Chelsea, Stoke city na Leicester City.
Alikuwa ni sehemu muhimu katika timu ya Leicester City iliyobeba ubingwa wa EPL msimu uliopita ambapo alitengeneza kombinesheni ya hatari na Captain wa Leicester, Wes Morgan.
Leo katika Historia
1997 - Renato Sanchez anazaliwa.
Ni mchezaji kinda wa Bayern Munich na timu ya taifa ya Ureno.
Asante mdauKweli mwezi August ni mwezi wa kuzaliwa kwa viongozi.
Kwa udhamini mnono wa [HASHTAG]#TeamWekaPicha[/HASHTAG] tukutane tena kesho.
Niite Jimena Jimenes
Adios
Mi huwa nayapotezea tuKuna mambo nchi hii kuyaelewa ni kazi ngumu sana
Vp mkuuMorning wakuu