Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
7/Hulk Hogan
Alizaliwa Agosti 11 mwaka 1953
Kuna asiyemjua babu huyu mtata mwenye ndevu za beberu ?
Ni mtata haswa nje ya ulingo. Maisha yake yamejaa mikasa na visa chungu nzima
Anasifika kwa kupenda dogodogp sisi tunaita chuchu saa 6
Ana kesi kobao za kubaka mademu mbalimbali inaonekana ibabe wake anapeleka hadi kitandani
Huyu ni mcheza filamu maarufu na keshacheza filamu nyingi toka enzi hizo hata kabla ya umaarufu wake kuwa mkubwa :
Anatajwa kuwa na utajiri wa USD 26 Milioni
........

MITHALI 6