4/
John Cena
Alizaliwa April 23 mnamo mwaka 1977
Hivi huyu ni nahodha wa wacheza mieleka ? Maana muda wote anafunga beji mkononi kama Michael Carrick vile
Huyu ni mbabe wa mieleka aliyetukuka kwa kugawa vipondo
Keshatwaa mataji kibao tena kwa staili ya kibabe
Sikumbuki kumuona na kichupi ulingoni labda ana makalio kama ya Bashite maana kila siku ni kaptula tu
Anajishughulisha pia na filamu
Juzijuzi tu kamvisha pete demu wake mwanamieleka
Ana utajiri wa USD 40 Milioni(vyanzo vingine vinadai ni USD 55 Milioni)
.......