Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
We wachukulie wajinga sababu unaangalia matako yao bureKuna michezo mingine bana
Yani watu waliovaa vichupi wanagombea mkanda wakauvalie wapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] (Natania ila wrestling me sio shabiki kabisa)
Madame S
AlililililililililiiiiiiiiNakupenda pia
Ashajibu tayari....[emoji2] [emoji2] [emoji2]Hahaaa...
Ipi hiyoo?
Shemejiiii[emoji15]
Kasemaje kwani?Ashajibu tayari....[emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Shemejiiii[emoji15]
Cheza na kwaito kidogo basi [emoji3]Alililililililililiiiiiiii
8/Stephanie McMahon![]()
![]()
![]()
Alizaliwa Septemba 24 mwaka 1976
Ukimwangalia haraka haraka unaweza fikiri ni mrembo tu wa chipsi mayai kumbe yupo fiti na siyo wa kuchokozwa chokozwa
Huyu ni malkia wa mieleka duniani
Ndiye mwanamieleka maarufu wa kike na anapiga pesa ndefu kimyakimya
Ni binti wa mcheza mieleka maarufu wa zamani Vince McMahon ambaye alitamba vilivyo
Anatajwa kuwa mwanamieleka wa kike mrembo zaidi duniani
Ana utajiri wa USD 25 Milioni ila Vyanzo vingine vinadai ni USD 60 Milioni(labda wanaongea utajiri wa familia au buzi lake)
.......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] suala sio hilo yan nikae niangalie watu wakipigana yan wakaumizana ni kama ilivyo mpira ngumu kunishawishi tena at least hata mpira sasa hivi sio huu kwa kweli mtu anapigwa na kiti kama marehem umaga na kidole chake hahahhaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora nilale tuWe wachukulie wajinga sababu unaangalia matako yao bure
Wenzio wanapiga pesa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naogopa kusema
Madame S
Isijeingia tuu Usiku wa leo[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji23][emoji23]
Madame S
Yaani wewe..... Sio kwa uchochezi huooooAlililililililililiiiiiiii
[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]Cheza na kwaito kidogo basi [emoji3]
Sio kwa Picha hiyo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Si unapenda picha jamani shem..
Au kuna ubaya?
Mungu akubariki..[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Ko hujaisave kwenye gallerySio kwa Picha hiyo