TOP TEN
Kama kawaida week end huanza ijumaa ila kwa watu wenye mkwanja wa maana kila siku ni sawa na week end yaani kama ni kupiga mitungi wanapiga kila siku
Kwa sisi tunaoishi uswahilini kipindi cha JK kila siku kwetu ilikuwa ni week end ni mwendo wa kupoga viroba kuanzia asubuhi,usiku tunaruka vigodoro huku giza likiingia tunajiachia na akina Mwajuma ila awamu hii ishaleta mkosi sheria kibao za kibwege utafikiri nchi ya kusadikika iliyoongozwa na Mfalme Juh.a
Haya sasa nimalizie week mapema kwa kumi kubwa zen watu tuendeleeratiba zetu za kula gambe
Juzi juzi nilimwelrzea Hulk Hogan kwamba babu anapiga prsa yule kutokana na mchezo wa mieleka na filamu
Sasa leo tuwaangalie wanamieleka kumi wenye mpunga wa kueleweka
Wapo wengi ila nimewachagua kumi tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.