InterestingNamba 4.
Mathew Bevan na Richard Pryce
Hawa ni raia wa kiingereza . Hawa wataalamu wa computer walifanya udukuzi kwenye computer za serikali kubwa hasimu duniani.
Walifanikiwa kufanya uvamizi na kuweka virus kwenye computer za jeshi la marekani .
Walishavamia computer za Nato, na Lockheed kampuni ya kutengeza holicoputer za kijeshi.
Hawa jamaa alimanisura waazishe vita ya tatu ya dunia baada ya kuchukua mafaili ya Mitambo ya tafiti za Nyuklia za korea kaskazini na kuzituma kwenye kumputer za jeshi la marekani na wakati huo huo kuchukua Faili za staili hiyo za korea kusini na kuzituma nchini marekani.
Pia waliiba mafaili ya UFOs kwenye maabara za jeshi la marekani.
Baadaye walikamatwa .
Shunie mlala kifud fudi..
Mie mzima shunie, sijui wewe ndugu yangu.Maka mzima jaman
Salama jirani, japo nmezichelewa, vip hali ndugu!?Za jioni jirani
Nzuri kabisa jirani, za weweHabar zenu ndugu zangu...
Tycoon MAKAVELI Jr.
Hahahahhahahahahhaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa nn umesoma lakini
Madame S
Mambo yako bye, niaje lakini jiraniSalama jirani, japo nmezichelewa, vip hali ndugu!?
Tycoon MAKAVELI Jr.
Wish u all the best ndugu zangu..Tatizo utani unazidi inabidi tuwe siliasi kidogo dear...
Ila waambie mwezi wa 12 ndoa ...hope kila mtu apa atakaye kuwa tayar kadi atapata
Na mie nasema mungu akupe kile unachokitaka..View attachment 566079[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124][emoji124][emoji124]
Madame S
Hhmm... hiki sikiwez mie.
Hii inanihusu.. itabid nifike
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Duh!! Moja ya sehem ninayotaman kufika kabla ya kukata pumzi.
About kilometer buku nane hivi na ushekhe..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]